Sallam SK Mendez, Diamond: “Harmonize ashatoka WCB rasmi, moyo wake haupo tena nasi WCB.”

Meneja wa Diamond mnamo siku ya Jumatano usiku, Agosti 21 akihojiwa kwenye kipindi cha Block 89 kinachorushwa hewani na Wasafi FM alithibitisha kwamba kweli Harmonize ametoka WCB rasmi.

Sallam SK Mendez, ambaye pia ndiye CEO wa SK Entertainment bila ya kuyapepesa macho wala kuongea kwa mafumbo kuhusu mkataba wa Harmonize na WCB alipasua anga mubashara na kusema: https://youtu.be/RDOACcVNnpU

Kwa Mahojiano kamili na kwa yote yaliyojiri tazama link kwenye comment ya juu kabisa chini ya video hii.

Aidha Sallam SK Mendez, meneja wa Diamond, alikuwa na mengi ya kufunguka kuuhusu uhusiano wa WCB na Harmonize aka Konde Boy maarufu kwa wimbo wake Kwangwaru aliomshirikisha Diamond Platnumz. Baadhi ya mambo aliyoyasema ndiyo haya kwa muhtasari wa picha na maandishi:

Mashabiki na wafuatiliaji wa Block 89 kwenye YouTube walikuwa wepesi wa kutoa maoni yao kulihusu jambo hili. Kunao waliosema kuwa Konde Boy ashakuwa dume na wakati ulikuwa umefika wa yeye kuhamia katika ;nyumba’ yake ila kuna wale waliosema aende polepole kwani bado alihitaji WCB.

Hebu tazama basi video hii ili kufuatilia mwenyewe baadhi ya maoni waliyoyatoa. Utapenda, kumfurahia na kumwonea huzuni Harmonize kwa wakati mmoja. Mawazo mchafukoge: xxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Na wewe maoni yako ni yepi kuhusu vuta nikuvute hizi kati ya Harmonize na WCB? Je, unadhani kuwa anafaa kutengana nao au adumishe ‘ndoa’ hii kwa manufaa ya kesho na kesho kutwa yake?

Kama umependa njia yetu ya kipekee na kistadi ya kuwasilisha habari, tafadhali jiunge katika mtandao wetu wa YouTube kwa KUSUBSCRIBE na kubofya alama ya kengele ili usiwahi kupitwa na makala yetu haya yenye mvuto na mvutio wa aina yake na pia ili uwe wa kwanza kuyapokea kabla ya wengine wote na kuwasambazia unaowajali ili wasipitwe na uhondo huu!

Ili kutazama makala haya kwenye video, nenda Youtube Channel yangu kwa kubofya kiungo hiki: https://youtu.be/WgxqcZDKdtc

Mpasua Msonobari TV Transparent Logo 9

Mpasua Msonobari is available on:
Swahili WordPress: https://msonobari.wordpress.com

YouTube: https://www.youtube.com/user/msonobari/videos

Facebook: https://www.facebook.com/msonobari/

Instagram: https://www.instagram.com/mpasuamsonobari/

Twitter: https://twitter.com/msonobari/

SoundCloud: https://soundcloud.com/msonobari

SoundBetter: https://soundbetter.com/profiles/129686-mpasua-msonobari

LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/mpasuamsonobari

For Bookings & Correspondence:
Email: msonobari@gmail.com

~ by Mpasua Msonobari TV on August 22, 2019.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: