WATOTO LIKIZONI

Nakumbuka mimi nikiwa bado sklini, nilithamini likizo kulikohata masomo kabla ya likizo. Hata hivyo likizo yangu haikuanza rasmi mpaka nimemaliza kazi ya ziada ambayo mwalimu wangu alikuwa amenipea. Hata hivyo lazima nikubali kwamba siku zote nilitangulia na kazi ya zuada ya Kiswahili kwanza kabla ya kukumbuka kwamba pia kulikuwapo na masomo mengine. Waama siku njema huonekana asubuhi. Sasa hivi nchini Kenya, Tanzania na kwingi tu, wanafunzi wako likizoni! Mambo tunayoripotiwa katika uga wetu huu wa msisimko wa Kiswahili ni ya kushangaza kama si kustaajabisha….Yatendelea

~ by Mpasua Msonobari TV on April 8, 2010.

One Response to “WATOTO LIKIZONI”

  1. Likizo huwa na maana ya mpango wa masomo ya ziada kwa wa somi wenye bidii. Lakini kwa sababu ya ujeuri na unobe walio nao wanafunzi, ripoti zitazidi kuja. Lakini nakupa mkono wa tahania kwa kuwajibika wakati wa likizo. Wachache watakao vutiwa na ufanisi wako wata wajibika kwa muungwana akivuliwa nguo huchutama. Yote tisa, kumi ni kuwa KISWAHILI KITUKUZWE, KISIFUKUZWE. Stephen, KIMT.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: